2 Samuel 23:34-39

34 aElifeleti mwana wa Ahasbai, Mmaakathi;
Eliamu mwana wa Ahithofeli, Mgiloni;
35 bHezro, Mkarmeli;
Paarai, Mwarbi;
36 cIgali mwana wa Nathani kutoka Soba;
Bani, Mgadi;
37 dSeleki, Mwamoni;
Naharai, Mbeerothi, aliyekuwa mbeba silaha za Yoabu mwana wa Seruya;
38 eIra, Mwithiri;
Garebu, Mwithiri;
39 fna Uria, Mhiti.
Jumla yao wote walikuwa watu thelathini na saba.
Copyright information for SwhNEN